NA.
|
TAREHE NA SIKU
|
SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA
|
1.
|
JUMAMOSI
na
JUMAPILI
09/05/2015 -10/05/2015
|
Wabunge kuelekea Dodoma kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali.
|
2.
|
JUMATATU
11/05/2015
Saa 4.00 Asubuhi
Saa 10.00 Jioni
|
· Kikao cha Pamoja cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti (Ukumbi wa Pius Msekwa)
· Kikao cha Briefing kwa Wabunge wote
(Ukumbi wa Pius Msekwa)
|
3.
|
JUMANNE - JUMAMOSI
12/5/2015 - 16/5/2015
|
Mkutano wa Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo.
(i) Maswali ;
HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU: (Siku 5)
· SERA, URATIBU NA BUNGE.
· UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI.
· TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
|
4.
|
JUMATATU
18/5/2015
|
HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS:
|
5.
|
JUMANNE
19/5/2015
|
HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA).
|
6.
|
JUMATANO
20/5/2015
|
|
7.
|
ALHAMISI
21/5/2015
|
|
8.
|
IJUMAA
22/5/2015
|
· Maswali
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
|
9.
|
JUMAMOSI
23/5/2015
|
|
10.
|
JUMATATU
25/5/2015
|
· Maswali
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KAZI NA AJIRA.
|
11.
|
JUMANNE
26/5/2015
|
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
|
12.
|
JUMATANO
27/5/2015
|
· Maswali
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI
|
13.
|
ALHAMISI
28/5/2015
|
· Maswali
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
|
14.
|
IJUMAA
29/5/2015
|
· Maswali
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI.
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA.
|
15.
|
JUMAMOSI
30/5/2015
|
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UCHUKUZI
|
16.
|
JUMATATU
01/6/2015
|
|
17.
|
JUMANNE
02/6/2015
|
· Maswali
· HOTUBA YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
|
18.
|
JUMATANO
03/6/2015
|
· Maswali
|
19.
|
ALHAMISI
04/6/2015
|
· Maswali
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
|
20.
|
IJUMAA
05/6/2015
|
· Maswali.
· HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.
|
21
|
JUMAMOSI
06/06/2015
|
|
22.
|
JUMATATU - JUMATANO
08/6/2015 – 10/6/2015
|
Serikali kushauriana na Kamati ya Bajeti Kufanya Majumuisho kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili Bajeti za Wizara;(Siku 3)
|
23.
|
ALHAMISI
11/6/2015
|
· Maswali
(i) Waziri anayehusika na Mipango Kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi.
(ii) Waziri wa Fedha Kusoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali.
|
24.
|
IJUMAA
12/6/2015
|
Wajumbe Kusoma na kutafakari Hotuba ya Bajeti.
|
25.
|
JUMATATU - JUMANNE
15/6/2015 - 23/6/2015
|
· Maswali
· MJADALA KUHUSU BAJETI YA SERIKALI
(Siku 7)
|
26.
|
JUMATANO
24/6/2015
|
· Maswali
· Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi (The Appropriation Bill, 2015)
· Muswada wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill, 2015)
|
27.
|
ALHAMISI - IJUMAA
25/6 – 26/6/2015
|
· Maswali
· Muswada wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill, 2015)
|
28.
|
JUMAMOSI
27/6/2015
|
KUFUNGA BUNGE
|
Sunday, May 10, 2015
RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI, KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016 TAREHE 12 MEI, 2015 HADI 27 JUNI, 2015.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment