Afisa wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Jacob Ulotu akiondoa gunia lililokuwa limefunika sehemu hiyo ambayo kiutaratibu ilitakiwa kuwa na meta ya kusoma matumizi ya maji. |
Hivi ndivyo ilivyokuwa ikionekana baada ya kuondolewa gunia. |
Na maji alikuwa akitumia kama inayoonekana . |
Hii ndio nyumba ambayo imekutwa wiozi wa maji ukiwa unafanyika. |
Fundi wa MUWSA akijaribu kukata bomba lililokuwa likipeleka maji ndani ya nyumba hiyo. |
Zoezi la ukataji wa maji hayo lilisimamiwa na Afisa Uhusiano wa mamlaka hiyo Florah Nguma. |
Mafundi wakifukia eneo hilo. |
Eneo la nje ya nyumba hiyo ambayo wizi wa maji ulikuwa ukifanyika. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment