Sunday, May 10, 2015

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARALE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA.

Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai,wakitizama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.
Mbowe akijadili jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka na viongozi wengine baada ya kuona namna ambavyo miundo mbinu ya reli ilivyosombwa na maji.
Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli.
Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole kwa waathirika  wa mafuriko uliofanyika katika kijiji cha Kawaya.
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Kawaya wilayani Hai ambao wamefikwa na mafuriko yaliyotokana na mua zinazoendelea kunyesha.
Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka akiteta jambo na Mh Mbowe katika mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akiteta jambo na Mh Mbowe katika mkutano huo.
Baadhi ya wananchi.
Mbunge wa viti maalum  Mhe. Lucy Owenye akiwasalimia wananchi na kutoa pole kwa janga la mfuriko lililowafika.
Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka akitoa pole kwa wananchi wa ukanda wa Tambarare.
Mbunge wa jimbo la Hai Mhe. Freeman Mbowe akiwa ameshika kofia mbili, ya CCM na ya CHADEMA  ambazo alizitumia kuchangisha fedha katika mkutano huo kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko katika ukanda wa tambarare wilayani Hai.
Mbunge wa jimbo la Hai Mhe. Freeman Mbowe akiendesha harambee hiyo
Mkuu wa wilaya anthony Mtaka akichangia fedha katika harambee hiyo.
Baadhi ya nyumba zilizoathirika na mafuriko .
Moja ya godoro likiwa limeanikwabaada ya kulowa maji wakati mafuriko yanatokea katika kijiji hicho.
Nyumba zilizoanguka kutokana na mafuriko.
Mazao pia yamesombwa na maji.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya 

Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments: