Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM
Taifa Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa
karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
katikauwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba jioni leo.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa shada la mauwa na kijana
Chipukizi wa CCM baada ya kuwasili katika Uwanja wa karume Pemba ambapo
atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM leo katika uwanja wa
Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha
Mapinduzi mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba
ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM leo katika
uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,(pichani) akipena mkono na
Katibu Mkuu Uenezi CCM Taifa Nape Mnauye.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali wa CCM
alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ambapo atazindua
Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani
Wilaya ya Chake chake Pemba.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Pemba Mwanajuma Majid Abdalla baada ya kupata mapokezi makubwa
alipowasili katika uwanja wa Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ambapo
atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa
Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment