Hapa ndio katikatiya jiji la mbeya,eneo hili ni mahalufu kama uhindini lufaa,au zima moto karibu na kituo kikuu cha polisi.
Ukiwa unatoka sokomatola kwenda mwanjelwa,mpaka uyole enoo hili ni maharufu kwa jina la BP.
Mkeka huu ni wakutoka soko matola pia mtaa wa benki ya NBC.
Hapa ni eneo la sterio mkabala na shule ya sekondari sangu.
No comments:
Post a Comment