Thursday, November 20, 2014

BARABARA YAGEUKA ULINGO WA NDONDI.

Vijana wazichapa vilivyo kwa kisa cha kugombea mwanamke mmoja,ambee kawachanganya wote wawili kwa mahaba mazito.

Jamaa mmoja akiwa chini akitumikia kabali kutoka kwa kijeba cha juu huku kikishusha konde la ngumi kwa jamaa wa chini.

wadau mbalimbali wa ngumi wala pozi kwa kushuhudia mpambano huo,huku wakisema (waacheni, msiamulie ili waheshimiane) picha na ecky the best.

No comments: