Thursday, November 20, 2014

KATAPILA LAKATA PUMZI MIKONONI MWA USTADHI.

Ustadhi mzigoni mdogomdogo akijikongoja kilingeni kutafuta wapi sheli ilipo iliangeze mafuta baada ya katapila lake kukata mafuta barabarani.

No comments: