Katibu wa umoja wa wanawake(UWT) ccm ndugu Saphia Almasi akiwasalimu wageni walikwa baada ya kuwasili katika warsha hiyo,iliyo fanyika katika ukumbi wa kata ya maanga jijini mbeya.
Katibu umoja wa wanawake((UWT) ccm wilaya ya Mbeya mjini akizungumza na baadhiya wakina mama walio hudhuria katika warsha hiyo.
Baadhi ya kinamama walio hudhuria warsha hiyo,wakisikiliza kwa makini ujumbe kutoka kwa katibu wao wa wilaya.
Mazungumzo yakiendelea.
Mwenyekiti (UWT) kata ya rwanda Rozi Mahinya aki wasalimu wageni wa alikwa.
Mjadala ukiendeleaaa.
Pongezi kwa katibu wa (UWT) wilaya ya mbeya mjini kutoka kwa makada wa ccm jiji mbeya.
Burudani ya muziki kutoka katika kikundi cha wasanii (UWT) maanga kikitumbuiza katika hafra hiyo.
Katibu wa umoja wa wanawake(UWT) kata ya maanga na mshereheshaji wa warsha hiyo akifanya yake katika hafra hiyo.
Katibu umoja wa wanawake (UWT) akiwaaga makada wa chama cha mapinduzi ccm baada ya mazungumzo.
No comments:
Post a Comment