Afisa masoko,kibo company ltd, mbegu ya mahindi kitale 614,ndugu Daudi akitoa mafunzo ya kilimo kwa wadau. |
Mdau wa kilimo kutoka katika kampuni ya Kalinga Agrochemicals, Daudi Kayange akitia wino katika kitabu cha maudhurio.
Elimu kwa ufupi kutoka katika kampuni ya kibo ikiendeleaaa.
Mdau Daudi Kayange akipiga viji swali juu ya mbegu ya nyanya itwayo monika.
Wadauu wa kilimo jijini mbeya wa kifuatilia kwa makini mafunzo ya mbegu za mazao mbalimbali katika washa ya wadau wa kilimo ilio fanyika jijini mbeya.
Mkulima wa nyanya aina ya monika akizungumzia umahiri wa mbegu hizo.
Baadhi ya mbegu zilizo tolewa mafunzo na kampuni ya kibo. |
No comments:
Post a Comment