HELMENT NI MUHIMU KWA DELEVA NA ABIRIA KATIKA USAFIRI WA PIKIPIKI(BODABODA)
Usalama wa abiria na deleva,hutokana na uzingatiaji wa sheria za barabarani hususani kujikinga na helment katika usafiri wa pikipiki yani bodaboda,kwa mwendoo huu na abilia ajajikinga na helment lolote laweza kutokea.
No comments:
Post a Comment