Sunday, November 9, 2014

USIKU WA ZAX 4 REAL JIJINI MBEYA.



                           Mwana muziki wa kizazi kipya Zax 4 Real akiwalusha
                    mashabiki zake katika show yake ya usiku wa Zax Four Real.

                       mwana dada Silvia Green Kutoka jijini mbeya,akikamua
                                         katika stage ya Usiku wa zax Four Real.

                               kijana anae kimbiza katika muziki wa kizazi kipya Davy
                                         Star akifanya makamuzi katika show hiyo.

                                 msanii wa muziki wa hip hop Mtafya mwanaharakati
                        akiwaimbisha mashabiki hawapo pichani  wimbo wa tukuyu                                   Ku South.                     

Goliath mwana hip hop akikamua kama kawaaa,katika   
     usiku wa    Zax 4 Real.



















            picha zote Fadhiri Atick na Ecky The Best ghobu ya jamii.

No comments: