All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, July 2, 2016

YALEE YALEEE:GARI LAAMA NJIA NA KUMGONGA MUENDESHA BAISKELI ENEO LA SUMBAWANGA ENYEJI MKOANI RUKWA....

Pichani ni  Usafiri wa Baiskeli Ukiwa nyang'a nyang'a mara baada ya Muendesha Baiskeli hiyo 'hayupo pichani' kugongwa na Gari aina ya Fuso alipo kuwa akielekea Nyumbani kwake na kupelekea hali Mbaya kwa Upande wake na Kuwahishwa katika Hospitali ya Mkoa iliyopo Sumbawanga Mjini, Majerui hakuweza kutambulika kwa Majina na Mara baada ya Tukio hilo kutokea Dereva wa Gari aina ya Fuso lenye Nambari za usajiri (T 688 DDV) aliingia Mitini na kutelekeza Gari hilo Pembezoni mwa barabara ya Sumbawanga kuelekea Wilayani karambo Eneo la Sumbawanga Enyeji.
Baadhi ya shuhuda wa tukio hilo akijaribu kumuelezea mwenzake jinsi hali ilivyo kuwa.
Jeshi la Polisi lilifika Mapema na kufanya Uchunguzi zaidi ni kipi kilicho pelekea kutokea kwa Ajari hiyo ni Mara baada ya Majerui kuwahishwa Hospitali.
Namba ya Gari lililo fanya Tukio hilo la Kumgongo Muendesha Baiskeli Eneo la Sumbawanga Enyeji Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa.
PICHA NA MR.PENGO MMG RUKWA.

No comments: