All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, July 1, 2016

MKOA WA MBEYA WAKAMILISHA UTENGENEZAJI WA MADAWATI ELFU 32 KATIKA HALMASHAURI SITA,CHINI YA USIMAMIZI WA RC.MAKALLA....

Mkuu wa Mkoa wa Mbaye Mh.Amos Makalla amepongeza viongozi, watendaji na wananchi wote wa Mkoa wa Mbeya kwa kukamilisha utengenezaji wa Madawati 32.000 katika Halmashauri Sita za Mkoa wa Mbeya ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais kuhakikisha kila Mtoto anakaa  katika Dawati 
Hayo ameyasema Leo wakati wa hafla ya kukabidhi mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Songwe
Mkuu wa mkoa wa mbeya Amos Makalla akipokea salamu kutoka kwa Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, George Jackson Mbijima Katika hafra ya kukabidhi mwenge mkoani songwe.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla Sanjari na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, George Jackson Mbijima wakiwaongoza baadhi ya Wanajeshi na Wananchi wa Mkoa wa Songwe katika Hafra ya kuukabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoani Songwe.
Post a Comment