All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, June 30, 2016

TASWIRA MBALIMBALI ZA MJI WA SUMBAWANGA HII LEO....

Kameramani wa Globu ya Jamii katika mizunguko yake ya hapa na pale huko Mjini Sumbawanga Mkoani Rukwa alifanikiwa kukunasia baadhi ya Taswira Mbalimbali za Mji wa Sumbawanga kama ambavyo kipita Shoto hicho Pichani ambacho ndio kipita Shoto kinacho utambulisha Mji wa Sumbawanga Kionekanavyo katika Taswira hapo juu.
Huu ndio Uvukuji wa Barabara kwa baadhi ya wenyeji wa Mji wa Sumbawanga kwa lengo la kuepusha Shari.
Baadhi ya wakazi wa Mji wa Sumbawanga wakikata Mitaa huku wakiwa wamebeba Kuku kwa kupokezana.
Hii ni moja ya Barabara iendayo moja kwa moja mpaka Ofisi za Mkowa.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG NYANDA ZA JUU KUSINI.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Post a Comment