All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, July 4, 2016

TASWIRA KUTOKA WILAYANI KARAMBO MKOANI RUKWA...

Baadhia wakina Mama Wajasiliamali wafanyao Biashara zao kandokando ya Barabara ya kuelekea Bandari ya Kasanga kutokea Sumbawanga Mjini wakiwa katika Eneo lao la Biashara kama ambavyo waonekanavyo hapo juu katika Taswira.
Wakina Baba nao wakiwa Sambamba na Vipandwa vyao katika Pilika Pilika zao za kila Siku kando kando ya Barabara ya kutokea Sumbawanga Mjini kuelekea Bandari ya Kasanga Wilayani Karambo Mkoani Rukwa.
Mwanaume wa Shoka akijikongoja kandokando ya Barabara hiyoo.
Gari hii Pichani ikiwa katika matengenezo mara baada ya kupata Hitirafu katikati ya Barabara hiyo..
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG.
Chinga akielekea Gulionoi na Kipando chake.
Vijana wa Skauti wakielekea Kambini kuendelea na Mazoezi.
Post a Comment