All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, July 15, 2016

YALEE YALEE:DALADALA USO KWA USO NA BAJAJI JIJINI MBEYA...

Gari ya Mzunguko Daladala yagongana Uso kwa Uso Eneo la Mwaji Uyole Jijini Mbeya kutokana na Madereva wote kuzidiwa Maarifa kutokana na Mwanga Mkali walio washiana na kupelekea kupoteza Muelekeo kisha kugongana Usiku huu...

Bajaji iliyo Gongana na Gari ya Mzunguko maharufu kwa Jina la Daladala linalo toka Stendi kuu Soko Matola kuelekea Uyole Igawilo ikiwa Nyang'anyang'a mara baada ya kugongana Uso kwa Uso Eneo la Mwaji Uyole Jijini Mbeya.

No comments: