All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, June 9, 2016

YALEE YALEEE.....

Magari yazuhiliwa kupita kutokana na Roli la Mizigo kupata hitirafu katikati ya Barabara  pindi Lilipo kuwa likiingia Barabarani Eneo la Mahenje Njiapanda ya Mlowo Mbozi Mkoani Songwe.
Magari hayo yaliyo kwama kupita yakitafuta Upenye wa kupita kuendelea na Safari
Upenyo ukiendelea kutafutwa na baadhi ya Magari yaliyo wekewa Uzio na Roli Mbele.
PICHA NA MR.PENGO MMG
Post a Comment