All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, June 10, 2016

HUU NDIO USAFIRI PENDWA WA KUSAFILISHIA MIWA ENEO LA SANTAMALIA MATAI WILAYANI KARAMBO MKOANI RUKWA...

Mfanya Biashara wa Miwa maharufu kutoka Santamalia Matai Mkoani Rukwa akiwa na Kipando chake ambacho anakiaminia Kusafirishia Miwa yake kupeleka kwa Wateja wake.
Mdau mwengine ambae pia ni mfanya Biashara wa Biashara hiyo ya Miwa akikokota Kipando chake kuelekea Sokoni kwa Wateja wake.
Miwa hiyoo ikindelea kukatiza Eneo la Santamalia kama Ilikivyo ada kwa wafanya Biashara wa Miwa kwa Eneo la Santamalia Matai Wilayani Karambo Mkoani Rukwa.
Mdau akikatiza mbele ya Kipando cha Muuza Miwa wa Matai
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG.
Post a Comment