All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, June 7, 2016

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA STENDI KUU YA MKOA WA MBEYA...

Baadhi ya Magari maharufu kwa Jina la Tax ya kusafilisha Abilia kutoka Stendi Kuu kwenda sehemu nyingine yakiwa yameegeshwa katika Sehemu yao yaliyo pangiwa katika Stendi hiyo ya Mkoa wa Mbeya iliyopo Jijini Mbeya.
Baadhi ya Wafanya Biashara waliopo Ndani ya Stendi hiyo Wakinadi Bidhaa zao kwa baadhi ya Abiria wanao fanya Safari katika Stendi hiyo..
Dereva wa Tax kulia akimfuata Abilia...
Moja kati ya wapiga Debewa Stendi kuu ya Mkoa wa Mbeya Akining'inia kwenye Basi lililo kuwa  likitoka katika stendi hiyo...
Baadhi ya wafanya Biashara wafanyao Biashara zao ndani ya Stendi hiyo ya Mkoa wa Mbeya wakiwa katika Sehemu yao..
Post a Comment