All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, May 23, 2016

EUNICE ROBERT MSHINDI WA MISS MBEYA 2016....

Kutoka Shoto ni Mshindi wa Pili wa Shindano la Miss Mbeya Priscal Mengi, Mshindi wa Shindano hilo la Miss Mbeya Mwaka 2016 anaetambulika kwa Jina la Eunice John Robert katikati Sambamba na Mshindi wa Tatu wa shindano hiolo la Miss Mbeya kwa Mwaka 2016 Nancy Matta, Shindano hilo la Miss Mbeya kwa Mwaka huu lilifanyika Ijumaa ya Tarehe 20-05-2016 Liliandaliwa na Redio Dream FM 91.3 Mbeya kwa kushilikiana na Michuzi Blog, Pepsi, Ufunuo Clinic, Access Computer Limited, Viva Night Club, Milo Group Limited, New karim Hardware, City Pub, Paradise Inn Hotel, Club K-Mo, Ace Classic Wear, Ally Rich Sanaa Art, New Mama Land Pub, Beaco Resort na Manyanya Inn Hotel and Tours.Mwanamuziki  wa Muziki wa Kizazi Kipya anae Tamba kwa Nyimbo kadhaa kutoka WCB Wasafi Harmonize akipagawisha mashabiki wake wa Jiji la Mbeya kwa kutoa Burudani.Baadhi ya Washiriki wa Miss Mbeya kwa Mwaka 2016 wakifanya yao Jukwaani...Burudani ikiendelea katika Ukumbi wa Paradise In Hotel Jijini Mbeya.PICHA ZOTE NA ECKY THE BEST WA MMG MBEYA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Post a Comment