Akizungumza na Wanachama wa kariakoo family hawapo pichani, katika Uzinduzi wa Kariakoo family Development Foundation Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi polisi mstaafu Jamal Rwambow amekitaka chama hicho kinacho wajumuisha wakongwe wa kariakoo waliotengeneza kikundi hicho kwa lengo la kushirikiana mambo mbalimbali na mambo mengine mengi kwa umoja wao.
Mwenyekiti wa kariakoo family development fund mh.mohamed bhinda akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa City Lounge jijini Dar es Salaam.
Picha ya Pamoja ya Wanakariakoo na Mgeni Rasmi.
No comments:
Post a Comment