All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, May 24, 2016

MWILI WA ALIEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM, WILSON KABWE WAAGWA LEO JIJINI DAR....

       
Jeneza lenye Mwili wa aliekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Marehemu Wilson Mbonea Kabwe, wakati wa zoezi la kuaga lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es salaam leo.
Viongozi Mbalimbali waliohudhulia shughuli ya kuangwa kwa Mwili wa aliekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Marehemu Wilson Mbonea Kabwe, wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (TAMISEMI), George Simbachawene (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, Meya wa Jiji la Dar es salaam, Isaya Mwita pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Wanakwaya.
Sehemu ya Familia ya aliekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Marehemu Wilson Mbonea Kabwe,wakiwa kwenye shughuli ya kuaga mwili wa Mpendwa wao, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es salaam.
Waombolezaji.Post a Comment