All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, June 15, 2015

TUNZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARD 2015.

KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND
KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
 MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA DA PRINCE
Burudani Kidogo toka kwa Ommy Dimpoz.
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) - MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO
WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA - NITAMPATA WAPI - DIAMOND PLATINUMZ
VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA - MDOGOMDOGO - DIAMOND PLATINUMZ
 MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP - JOH MAKINI
MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI - ENRICO
 WIMBO BORA WA R&B (SIKSIKII)- JUX
  MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - JOSE MARA
RAPA BORA WA HIP HOP - KIPI SIJASIKIA ( PROF J FT. DIAMOND PLATINUMZ).
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda nae hakuwa nyuma kufuatilia, pembeni ni Katibu Mkuu wa BASATA, Godfrey Mngereza.
 WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI (WALEWALE) - VIJANA WA NGWASUMA
WIMBO BORA WA TAARAB (MAPENZI HAYANA DHAMANA) - ISHA MASHAUZI
MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - ISHA MASHAUZI
Post a Comment