All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, June 4, 2015

MR.PENGO NA ECKY THE BEST KUPANIA KUINUA VIPAJI VYA WASANII JIJINI MBEYA.

Mie kushoto na Ecky the Beast tukiwa katika utafiti wa jambo katika maandalizi ya kuandaa kichupa cha wimbo wa kizazi kipya kama ambavyo tulivyo pania kuhakikisha wasanii wenye vipaji wenye kuelewa ni nini wanacho kifanya na wenye kujua nini maana ya sanaa kupeana sapoti ya kupiga hatua kusonga mbele, na kwa kuanzia tuu tumeanza na baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya kwa kuwatengenezea video'z za nyimbo zao ambapo baadhi ya nyimbo hizo ni, nimezunguka kutoka kwa Afizi Classic, Uzuri wako ya kwake Tytas na Shekini Parod iendayo kwa jina la Mwagona kutoka kwa msanii Zyomo na nyingine nyingi kutoka kwa wasanii chipkizi jijini mbeya.
hapa mie nikiwa katika harakati za kutenge neza taswirazz.
hapa mie nikilekebisha mambo kwa kukarabati sehemu ya kifaa tunavyo vitumia.
                                Afizi Classic-Nimezunguka.
                                       Tytus-Uzuri wako.                                                              Zyomo-mwagona

HIZI ZOTE ZIMEFANYWA NA PURE HUSTLE'S VIDEO'Z KUTOKA JIJINI MBEYA, ENEO LA MKAPA LOAD, WANAO JISHUGHULISHA NA SHUGHULI MBALIMBALI ZINAZO HITAJI KUMBUKUMBU KAMA HARUSI, BETHDAY, MUZIKI, FILAMU. DAYARI NA VITU VINGINE VINGI  KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBARI:-0757-836-857 au -0655-836-859.
Post a Comment