All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, April 19, 2015

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA IBADA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA KANISA LA KILUTHERI USHARIKA WA KIGOGO JIJINI DAR.

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda(kulia), akiimba sanjari na wanakwaya ya usharika huo.
 Vijana waliopo katika kundi maalumu wakiwa kwenye uzinduzi huo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda aliyekaa.
 Vijana waliokuwa katika kundi maalumu wakiwa katika uzinduzi wa ibada hiyo pamoja na waumini wengine.
 DC Makonda akisalimiana na waumini wa kanisa hilo.
 Mwenyekiti wa kundi hilo, Paul Njoole akitoa neno la shukuru kwa uongozi wa kanisa hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliokuwa katika kundi hilo pamoja na viongozi wa kanisa hilo.

Na Dotto Mwaibale

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, Paul Makonda ameahidi kushirikiana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Kigogo kuhakikisha anapambana wa waingiza na wauzaji wa dawa za kulevya katika wilaya hiyo.
http://michuzi-matukio.blogspot.com/2015/04/mkuu-wa-wilaya-ya-kinondoni-paul.html
Post a Comment