All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, April 19, 2015

MAALIM SEIF AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwahutubia wanachama na wapenzi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.
Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CUF waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilombero jimbo la Kitope.(Picha na Salmin Said, OMKR)

Na: Hassan Hamad,OMKR
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewashukuru wanachama wa chama hicho katika Wilaya ya Kaskazini ‘B’ kwa kujitokeza kwa wingi na kuwa wastahamilivu kwenye mkutano wa hadhara wa CUF jimbo la Kitope, licha ya kuwepo kwa mvua kubwa.
Post a Comment