| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza mara baada ya kukabidhi Cheti kwa mfanyabiashara Laswai. |
| Mfanyabiashara Vecent Laswai akisimulia changamoto na mambo mazuri aliyikutana nayo wakati akipanda Mlima Kilimanjaro na kufika katika kilele cha Uhuru. |
| Meneja Maendeleo ya Biashara wa Kibo Palace Hotel ,Charity Githinji akimvisha Laswai tochi maalumu ambayo imekuwa ikitumika wakati wa kupanda Mlima Kilimanjaro |
| Mfanyabiashara Laswai akionesha vifaa alivyokuwa akivitumia wakati wa zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro. |
| Laswai akipongezwa na mfanyabiashara mwenzake wa Mjini Moshi Ibrahim Shayo maarufu kama Ibra line mara baada ya kufanikiwa kufika kilele cha mlima Kilimanjaro na kurudi salama. |
| Baadhi ya wageni waliofika katika hafla fupi ya kukabidhiwa cheti kwa mfanyabiashara Laswai. |
| Mhifadhi mkuu Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufunguro akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Kibo Homes. |
| Mhifadhi mkuu Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufunguro akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Kibo Homes. |
| Baadhi ya wafanyakazi wa Kibo Group of Company wakiwa katika hafla hiyo. |
No comments:
Post a Comment