All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, December 9, 2014

WATOTO NDANI YA KETE.

 Kama kawa watoto na michezo kila siku, libeneke moja kwa moja kitaani na   kuwanasa watoto wakisukuma kete kilingeni, kwa kucheza mchezo wa drafti ambao ni mchezo unao chezwa mara nyingi na watu wazima lakini leo mchezo huo umevamiwa na watoto.
watoto hawa wakidigitali bila shaka huwenda wakawa wana cheza kamchezo ka kubeti kwajinsi mashabii wa wachezaji hao walivyo simama duu.  
mashabiki wakiwa makini na usukumaji wa kete wa wadau wao.
Post a Comment