Tuesday, December 9, 2014

HUYU JAMAA SIO WAKUMUACHIA MTOTO.

 jamaa mmoja jijini mbeya,hakuweza kufahamika kwa majina,aki mrusha rusha mtoto juu chini chini juu,bila kujali lolote kutokea,isije ikawa ndo kama yale ya Uganda.
                               jamaa akiwa amembeba mtoto juu chini chini juu.
 mtoto akichekelea burudani ya bembea kutoka kwa jamaa bila kujali lolote kutokea kwani eneo hilo lime zungukwa na vipande vya bati na mawemawe.
kijeba kikiendelea kujitutumua kwa kuamsha hisia za taya na mishipa kwa lengo la kumfurahisha mtoto huyo.picha na Fadhiri Atick mr pengo.

No comments: