Monday, December 8, 2014

EDWARD MWAMBOPO NA ANITHA MAKUNDI WAMEREMETA KATIKA SHEREHE YAO JIJINI MBEYA.

 Mnamo tar-07/12/2014, wadau Edward Mwambopo na Anitha Makundi wamemeremeta katika sherehe ya harusi yao baada ya kufunga ndoa,hafra hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mkapa sokomatora jijini mbeya.
 
 mdau Edward mwambopo na bi Anitha Makundi wakiisalimia  kamera  katika pozi.



burudani za hapa na pale zikiendelea kabla ya kuwasili maharusi.



vijana watanashatii wakisafisha njia vilivyo kabla ya maharusi kutia guu hukumbini.


 Edward Mwambopo na waubavu wake Anitha Makundi wakipokelewa na wageni waalikwa kwa furahaa na bashasha wakiwa wanatia guu ukumbini humo.

                                                                        Ndiiiiiiziiiiiiii
              Sherehee ilifunguliwa kwa maombiii kutoka kwa mchungaji.


 Edward Mwambopo akitoa utambulisho kwa ufupii kwa kuwatambulisha ndugu, jamaa na marafiki.
 baba mzazi wa bwana harusi papaa Francis Mwapombo aki wasalimu wageni waalikwa.

                                                 utambulisho ukiendeleaa.



                                 zawadi ya keki kwa wazazi pande zote mbili.






 Edward Mwambopo na bi Anitha Makundi wakiwazawadia keki baadhi ya wanakamati.

 kutoka kulia ni mrs Leah Mbala na dada yake kipenzi jane sawala wakijumuika pamoja katika sherehe ya mwanao Edward Mwambopo.


                                                          mambo yakiendeleaa










                              zawadi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.






 Aruwatani Mwenga akijimwaya mwaya kwa madoido na stepu yake ya twist.


 kutoka kushoto baba mzazi Francis Mwapombo,katikati jane sawala wakiwa katika picha ya pamojaa.


 kampuni ya vamponji envestment na wataalamu wakutengeneza vyakula vya hafra mbalimbali jijini mbeya ikiendelea kutafunisha.





                                              Asante vamponji nimejinoma kuku leoo.
 mshereheshaji maharufu jijini mbeya Charlis Mwakipesile akifanya yake katika hafra hiyoo.

                                                     burudani zikiendelea




Ilifana sanaa.