All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, December 21, 2014

SOKO LA MWANJELWA LATARAJIWA KUFUNGULIWA MWAKANI.

Mkandarasi wa soko kuu la Mwanjelwa linaloendelea kujengwa jijini mbeya ndugu,Balwinder Singh kutoka katika kampuni ya (NECCO) amezungumza na Ripota wetu juu ya maendeleo ya soko hilo kubwa lenye zaidi ya maduka 400 ya biashara ndogondogo,Benki mbili na kituo kikubwa cha polisi ambapo amesema soko hilo anatarajia kulikabidhii mwakani (2015) mwezi wa tano.

Akiendelea kuzumza,Mkandarasi huyo amesema kuwa hali ya Ujenzi inaendelea vyema na wapo kwenye hatua za mwisho,hivyo hadi mwezi Mei mwakani soko litakuwa limekamirika kabisa na kulikabidhi.
Mkandarasi wa Ujenzi wa Soko kuu la Mwanjelwa jijini Mbeya,Balwinder Singh akiandika baadhi ya maelezo ya vipimo muhimu vya Ujenzi kama alivyokutwa na Kameramani wetu.
 muonekano wa mbele wa soko la mwanjelwa. 
 muuonekana wa nyuma wa soko hilo. 
muonekano wa upande wa juu gholofa ya kwanza. 
 korido ya maabusu kituo cha polisi cha soko. 
 vyoo safi na nadhifu kuajili ya wafanya biashara,na wateja wao gholofa ya pili.
 kazi ikiendelea.
muonekano wa katikati wa soko la mwanjelwa.
 mambo yakiendelea.
baadhi ya vitendea kazi katika soko kuu la mwanjelwa mkoa wa mbeya.Picha zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr Pengo wa Mtaa kwa Mtaa Blog,Mbeya.
Post a Comment