All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, December 21, 2014

BARABARA YAVAMIWA NA WAMACHINGA MWANJELWA MSIMU HUU WA SIKUKUU.

Libeneke hili katika matembezi yake leo imezama moja kwa moja ndani ya maeneo ya mwanjelwa jijini mbeya na kuzinasa taswira mbalimbali za wafanya biashara ndogo ndogo jijini humo wakijitafutia chochote kitu ili mkono uende kinywani msimu huu wa sikukuu za xmasi na mwakampya katikati ya barabara inayo unganisha mwanjelwa na makunguru.

 mjomba ndani ya mpama akijaribu kuweka sawa biashara yake mzigoni.

          vijana wakipagawisha wateja wao juu ya gari eneo hilo.

 wakina mama chanja wakiwa wameongozana na wakina baba chanja pamoja na wanao kusalula pamba za sikukuu.

 dogo mgongoni akimnong'oneza maza wake juu ya kikali alicho kiona na kusemaa "mama mii aonaa iyee atuu shuliii mamaa"

             pilika  zikiwa zime pamba moto eneo hilo la mwanjelwa.

         kutokana na pamba kuwa ni moja ya biashara mradii wakina mama hawa nao wakiwa wamefungua belo la mitumba nje ya nyumba yao kandokando ya barabara huku wakibadilishana mawazo mbalimbali juu ya sikukuu itakuwaje kwa upande wao wachange au wasichange.

cameramani wa libeneke hili na michuzi media kwa ujumla Fadhiri Atick mr Pengo akiwa katika harakati za kujua bei ya buti kuajili ya maandalizi ya sikukuu.
Post a Comment