All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, December 21, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UJENZI NYUMBA WA MAAFISA WA JESHI.

 Amiri jeshi mkuu rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa Dkt.Hussein Ally Mwinyi(kushoto) Mkuu wa majeshi ulinzi na usalama Jenerali Davis Adolf  Mwamunyange wakiweka jiuwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Munduli mkoani Arusha jana. katika mladi huo jumla ya nyumba elfu kumi zinatarajiwa kujengwa katika kambi mbalimbali za jeshi nchini.

Post a Comment