All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, December 19, 2014

UGUMU WA KAZI KWA MALORI KITONGA.

Kama panavyo jurikana kitonga na watu mbalimbali hususani wasafiri wa mikoani wanao tumia mlima kitonga katika safari zao, leo libeneke hili limeshuhudia ugumu wa kazi baada ya magari ya mizigo yafahamikayo kama malori yalivyo kwama katika barabara ya kitonga kutokana na ukosefu wa pumzi kutokana na safari kuwandefu na kupelekea madeleva wa malori hayo kushuka kapuni na kujiongeza katika ukarabati wa michuma yao.
 hapa sasa ndo shurba hio ya malori kukwama, ikiwa imepamba moto kama unavyo ona yakiwa yameziba barabara na kuleta ugumu wa kazi kwa magari yanayo toka upande mwingine.
malori hayo yakiwa katika hali mbaya katikati ya barabara huku vidume vikijiongeza kwa kuthathiana juu ya upanguaji wa malori hayo.
Post a Comment