All Right Receved by MR.PENGO 2016

Wednesday, December 17, 2014

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA JIJINI DAR LEO,KATIKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA.

Mnenguaji maharufu katika bendi mbalimbali nchini,Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini dar es salaam baada ya kuzidiwa ghafla katika halakati za kupelekwa katika hospitali ya mwana nyamala.

                  Aisha Madinda ambaye amehahi kuzitumikia band mbalimbali hapa nchini ikiwemo African Stars wana wa twanga pepeta,atakumbukwa sana hasa kwa uhodari wake wa kulishambulia jukwaa.

                                    Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
                                                                         -Amin.
Post a Comment