All Right Receved by MR.PENGO 2016

Wednesday, December 17, 2014

UPDATES ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KURWA NA DOTTO MWAIBALE.

 Ankal Michuzi,akiwa na wapiganaji dotto(shoto) na kulwa mwaibale katika shughuli za kuaga mwili wa merehemu mama yao mzazi katika Hospitali ya Temeke jana.habari zina sema wamefika salama huko mwankenja wilayani rungwe mkoani Mbeya ambapo mazishi yana tarajiwa kufanyika leo.
                                                             maandalizi ya kaburi.
                        Wapiganaji kurwa na dotto mwaibale wakiwa na wapiganaji wa mbeya yetu.
Post a Comment