Hiki ni moja ya Kituko kilichofanya na Timu Ya Kutoka Mbozi Mbeya Jina La Timu Limehifadhiwa Kituko cha Kubadilishana Jezi Uwanjani wakati mpira ukiendelea Ikiwa ni Mechi Ya Utangulizi Dhidi ya Prison "B" na Timu ya Kutoka Mbozi jina la Timu Limehifadhiwa kabla ya Mtanange wa Yanga na Prison Kuanza..
Chukuwa Yangu Nipe Yako huku kocha kulia wa Timu ya kutoka Mbozi Akiendelea na Kazi Kama Kawaida..
Kituko kingine Ni hiki Cha Marafiki Hawa Walio Kuwa wakipigana Picha mara Baada ya Mtanange wa Yanga Na Prison Kumalizika Ndipo Wadau Hawa Walijipatia Fursa Yakupata Taswira Golini Mwa Uwanja Wa Sokoine Jijini Mbeya.
Kumbu kumbu Zikiendelea Kuchukuliwa kwa Mapozi Mbali mbali ya Bi Shosti aliyo kuwa akipewa na Mpiga picha alie pigwa picha akimpiga picha Rafiki yake.
No comments:
Post a Comment