Wednesday, November 9, 2016

SIMBA YASHINDWA KUUNGURUMA MBELE YA TANZANIA PRISON,YAFUNGWA GOLI 2-1.

Mtanange wa Simba Dhidi ya Tanzania Prison Ulimalizika kwa Kishindo uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya Ambapo Timu Ya wekundu wa msimbasi Simba Fc Ilipokea kichapo Cha Goli 2-1 Kutoka kwa wajelajela Tanzania Prison kama ambavyo Taswira Hapo juu ikionyesha mchezaji wa Simba Shoto, Jonas Mkude akichuwana Vikali na Salum Kimenya Katika Mtanange Ulio Malizika Katika Uwanja Wa Sokoine Ikiwa Jamal Mnyate Dk.43 Kipindi cha Kwanza Aliipatia Goli Timu Ya Simba, Huku Victor Hangaya kutoka Prison alisawazisha na kuongeza bao la Pili kwa Timu Yake Ya Tanzania Prison Mbeya.
Baadhi ya mashabiki kinazi wa Timu ya Wekundu wa Msimbazi wakiwa Katika Eneo lao.

 Kutoka Shoto Ni Kocha wa Timu ya Simba Joseph Omog akisalimiana na Kocha Wa Timu ya Prison Abdul Mingange kabla ya Mchezo kuanza..






 Jonas Mkude shoto akimtoka mchezaji wa Prison Victor Hangaya.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.

No comments: