Thursday, November 3, 2016

GLOBU YA JAMII NA TASWIRA MBALIMBALI KUTOKEA MJINI MAFINGA..

Moja kati ya Mabango ya Matangazo yaliyo wekewa alama ya X yaliyopo pembezoni mwa barabara ya Mbeya kuelekea Dar es salaam katika Eneo la Mafinga Mjini.
Baadhi ya madereva wa Tax wafanyao biashara zao za usafirishaji Abiria kutokea Standi kuu ya Mafinga kuwapeleka waendapo wakiwa katika Eneo lao la Biashara Upande Wa kulia Kutokea Mbeya Kuelekea Dar es Salaam.
Moja ya kikwangua Anga Kinacho pendezesha Mji wa Mafinga Kikimeremeta.
Maafisa Usafirishaji Wakiwa Katika Eneo lao la Kujidai Pia Mjini Mafinga.
PICHA NA MR.PENGO WA MMG.

No comments: