Wednesday, March 9, 2016

NAIBU KATIBU MKUU MPANJU AKUTANA NA WAWAKILISHI KUTOKA BOTSWANA.

Mkurugenzi wa Idara ya Katiba na Ufuatiliaji Haki Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Patience Ntwina (katikati) akiongea katika kikao na wawakilishi katika sekta ya sheria kutoka nchini Botswana walipotembelea Wizara ya Katiba na Sheria leo  jijini Dar es Salaam.
 Wawakilishi katika sekta ya sheria kutoka Nchini Botswana wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Amon Mpanju (hayupo pichani) alipokuwa akiongea nao kuhusu masuala mbalimbali ya Haki za Binadamu na Utawala Bora walipomtembelea ofisini kwake leo  jijini Dar Es Salaam.

No comments: