Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Ruvuma Zubery Muombeja.
MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Frida Kapinga mkazi wa Mkuzo kata ya Msamala mjini Songea mkoani Ruvuma anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani humo kwa kosa la kufanya mauaji ya kikatili dhidi ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.
No comments:
Post a Comment