Saturday, May 2, 2015

ANKAL ATEMBELEWA NA MDAU KUTOKA COLORADO, MAREKANI.

Ankal Issa Michuzi akiwa na mgeni wake Frida Kileo kutoka Colorado, Marekani, aliyetembelea makao makuu ya Libeneke jijini Dar es salaam Jana na kujionea shughuli za hapo pamoja na maandalizi ya sherehe za Miaka 10 ya Michuzi Blog mwezi Septemba. Yeye ni mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii walioko ughaibuni.

Ankal akipata selfie na mgeni wake

No comments: