Mkurugenzi
wa kitengo cha Masoko wa Airtel Tanzania,Levi Nyakundi (wa pili
kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Airtel
Tanzania,Beatrice Singano Mallya (pili kulia) wakifunua moja wa Gari
aina ya Toyota IST ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Promosheni mpya ya
Yatosha Zaidi ambayo itawawezesha wateja wa Airtel wanaotumia huduma ya
Airtel Yatosha kujishindia zawadi ya Gari kupitia droo maalim
itakayokuwa ikichezeshwa kila siku kwa muda wa miezi miwili,wateja
watakaojiunga na Airtel Yatosha wataingia moja kwa moja kwenye droo ya
Promosheni hiyo.
Mkurugenzi
wa kitengo cha Masoko wa Airtel Tanzania,Levi Nyakundi (wa pili
kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Airtel
Tanzania,Beatrice Singano Mallya (pili kulia) wakionyesha kipeperushi
cha Promosheni hiyo iliyozinduliwa rasmi leo kwenye viwanja vya Mlimani
City,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa kitengo cha Masoko wa Airtel Tanzania,Levi Nyakundi akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Promosheni
mpya ya Yatosha Zaidi ambayo itawawezesha wateja wa Airtel wanaotumia
huduma ya Airtel Yatosha kujishindia zawadi ya Gari aina ya Toyota IST
kupitia droo maalim itakayokuwa ikichezeshwa kila siku kwa muda wa miezi
miwili,wateja watakaojiunga na Airtel Yatosha wataingia moja kwa moja
kwenye droo ya Promosheni hiyo.Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na
Mahusiano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Mahusiano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya
akifafanua jambo wakati mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani)
kwenye uzinduzi wa Promosheni mpya ya Yatosha Zaidi ambayo itawawezesha
wateja wa Airtel wanaotumia huduma ya Airtel Yatosha kujishindia zawadi
ya Gari aina ya Toyota IST kupitia droo maalim itakayokuwa ikichezeshwa
kila siku kwa muda wa miezi miwili,wateja watakaojiunga na Airtel
Yatosha wataingia moja kwa moja kwenye droo ya Promosheni hiyo.
Sehemu ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Promosheni hiyo.
Sehemu ya Magari yatakayotolewa kwa washindi wa Promosheni ya Airtel Yatisha Zaidi.
Balozi wa Promosheni hiyo,Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya,Ney wa Mitego akiwa kwenye moja ya magari hayo.
Uzinduzi huo ilinogeshwa na burudani kutoka kwa vijana hawa.
No comments:
Post a Comment