Afisa
Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi Usia Nkhoma akiwakaribisha
wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Dar pamoja na wanafunzi wa
Vyuo Vikuu vilivyopo Jijini Dar ambavyo Kuna Klabu za Umoja wa Mataifa
katika ukumbi wa utamaduni wa Russia wakati wa Siku ya Kimataifa ya
Kuadhimisha na kuwakumbuka wahanga wa Maangamizi Makuu ya Moto Dhidi ya
Wayahudi.
Stella
Vuzo, Afisa habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania
(UNIC) akimwelezea Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Mh Egon Kochanke
wakati alipotembelea katika ukumbi wa Utamaduni wa Russia ambapo baadhi
ya wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo vikuu waliweza ushiriki
katika Kuadhimisha na Kuwakumbuka Wahanga Wa Maangamizi Makuu ya Moto
dhidi ya Wayahudi
Balozi
wa Ujerumani, Mh Egon Kochanke akisoma moja ya bango lililobandikwa
katika Ukumbi wa Utamaduni wa Kirusi wakati wa Maadhimisho ya Wahanga wa
Mahangamizi Makuu ya moto yanayofanyika kila tarehe 27 January kwaajili
ya kumbukumbu
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani, Kibasila, Azania na
Kisutu wakisoma moja ya bango lenye historia fupi ya Wahanga wa
Maangamizi Makuu ya Moto.
Stella
Vuzo, Afisa habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania
(UNIC) akimwelezea Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Mh Egon Kochanke
wakati alipotembelea katika ukumbi wa Utamaduni wa Russia ambapo
wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo waliweza kupata historia fupi ya
Wahanga wa Maangamizi Makuu ya Moto
Wanafunzi wakifuatilia historia fupi ya Wahanga iliyokuwa ikitolewa na Afisa Habari wa UN, Bi Usia Nkhoma
Stella
Vuzo, Afisa habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania
(UNIC) akitoa neno mbele ya Mgeni rasmi ambae ni Balozi wa Ujerumani
Nchini Tanzania, Mh Egon Kochanke wakati wa maadhimisho ya Siku ya
Kimataifa ya maadhimisho na kumbukumbu ya Wahanga wa Maangamizi Makuu ya
Moto dhidi ya Wayahudi ambapo maadhimisho hayo ufanyika kila tarehe 27
Januari.Picha Zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment