Sunday, January 25, 2015

DKT. SHEINI AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM.

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba jana.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba jana. 
 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pembajana.

 Baathi ya Wananchi na wafuasi wa chhama hicho akizungumza
 Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimia miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika uwanja wa wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba jana.

No comments: