Hawa ni vijana machachari wa kukarabati vitoweo na vyakula mbalimbali vya sherehee,wenye uzoefu wa miaka mingi kazini,na wenye ubunifu wa hali ya juu katika fani ya mapishi.katika pita pita za kila siku nime bahatika kupata taswira za maandalizi ya kutengeneza vitoweo vya kuku.
mtaalamu wa operation ya kukata kuku na mpishi kutoka jijini mbeya Abdull maharufu kama dull kuruta, akitia kisu mwilini mwa jogoo mmoja baada ya mwingine,huku akichekelea kazi ya mikono yake.
kutoka kushoto mpishi msaidizi wa Abdull kuruta mama Tofa akimsaidia mkuu wake katika fani kunyonyoa kuku.
Shughuli ikiendelea ya unyonyoaji na ukataji wa kuku.
No comments:
Post a Comment