Hii kweli kazi na dawa,kutana na fundi cherehani bw.Foddi mwenye sifa za pekee ambaye ana tumia sana nguvu nyingi za miguu yake na Akili pia,lakini baada ya kazi fundii hupata muda wa kujiliwaza kwa kupata chakula cha kutosha na cha mato baada ya kumaliza kazi yake.
Fundi akiwa makini na mashine yake ili sindano isimpige chenga ya kuchomoka chomaka,huku pembeni mambo ya kieendelea ya msosi kuiva taratibu.
No comments:
Post a Comment