All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, July 14, 2016

IJUWE KENGELE YA MSIBA NA MATUKIO KUTOKA WILAYANI CHUNYA..

Pichani ni moja ya Kengele zilizopo katika Maeneo Mbalimbali ya Mji wa Chunya Mkoani Mbeya ambazo hutumika kama Mbiu ya Mgambo kuwajurusha Wakazi wa Mji huo mambo Mbalimbali hususani Msiba na Vikao vya Kijiji, Kengele hizo Pia zimetofautiana Milio kwani kila Kengele huwa inasikika kipekee kabisa na kuwapa utofauti Wakazi wa Mji huo kuwa ni wapi kuna Msiba nao hujumuika,
Kengele ikiwa Imefungwa Juu ya Mti katika moja ya Eneo lililo teuliwa kufungwa Kengele hiyo na hapo ni Mji wa Zamani Chunya Mjini.
PICHA NA MR.PENGO MMG.
Post a Comment