All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, June 2, 2016

UZINDUZI WA MWANAMKE SIMAMA IMARA WANOGA SANA JIJINI MBEYA....

Baadhi ya Wanawake wa Jiji la Mbeya wakifurahi kwa pamoja huku wakicheza Muziki na Kupigana Picha katika Hafra fupi ya Mwanamke Simama Imara iliyofanyika hivi karibuni. Hafra iliyoandaliwa na Miss Mbeya Mwaka 2013 Jacklin Luvanda na kusapotiwa na Ally Rich Sanaa (Arts) Limited Ann's Statinary na Michuzi Blog kwa lengo la kuwakutanisha Wanawake wa Jiji la Mbeya, kuwa karibu katika harakati za kutafuta Maendeleo, Kupeana Mafunzo ya Ujasilia Mali na kubadilishana Mawazo Mbalimbali.
Muandaaji wa kongamano la "Mwanamke Simama Imara" Miss Mbeya 2013 Jacklin Luvanda akizungumza jambo kwa Wageni waalikwa hawapo Pichani.
Mshindi wa Shindano la Miss Mbeya kwa Mwaka huu wa 2016 Eunice Robert akiwa ndani ya Vazi lake la Umisi katika Hafra hiyo ya Kongamano la "Mwanamke Simama Imala" lililo fanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa G.R City hotel Soweto Jijini Mbeya.
Mwalimu wa Somo la "Mwanamke Simama Imala" ambae pia ni Muigizaji katika Tasnia ya Filamu Nchini Maarufu kwa Jina la Kemmy akitoa Somo kwa Wanawake wa Jiji la Mbeya hawapo Pichani...


Baadhi ya Wageni Waalikwa wakipata Picha na Mwanamuziki Mashuhuli kutoka Nchini Kenya Preizoo ambae pia alikuwepo kwenye Hafra hiyo ya "Mwanamke Simama Imara."
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.
Post a Comment