All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, June 2, 2016

KAMERA YA GLOBU YA JAMII NA TASWIRA MBALIMBALI ZA MJI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA....

Kamera Ya Globu ya Jamii ilipata kuangazia baadhi ya Taswira kutoka katika Mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya kama ambavyo Taswira hapo juu ikionyesha moja ya Majengo yaliyopo katikati ya Mji wa Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
Ankal Michuzi Akiiba miwa kwenye moja ya shamba la miwa lililopo Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
Kijani Kibichi chenye Kumeremeta kikiwa kimezunguka baadhi ya Nyumba zilizopo Bondeni karibu na Soko Kuu la Tukuyu.
Baadhi ya Magari yakikatiza katika Barabara Kuu ya kuelekea Kasumulu, Itungi mpaka Malawi.
Machinjio ya Ng'ombe Tukuyu Mjini..

No comments: